Uhuru wa kuweka ambacho ujafahamuKwanini unataka kuingilia uhuru wangu wa maoni? Nipigwe ban kwa sababu gani?
Ameuliza swaliKama umeweka kuhama chama na isipotokea Moderator piga ban mtoa uzi
Wewe bwege umeandika nini sasa ?? Eti "Aame"Aame tu , Chadema inahitaji wapinzani wa kweli hatuhitaji mikia ya mbuzi
Watanzania nani kawaloga? Yaani aende ofisi za CHADEMA kutangaza kuhama CHADEMA?Aame tu , Chadema inahitaji wapinzani wa kweli hatuhitaji mikia ya mbuzi
Kapewa madaraka gani aliyokuwa Hana?Kapewa madaraka hawezi kuhama huyo ni mchumia tumbo
Kapewa kanda uchwaraKapewa madaraka gani aliyokuwa Hana?
Siku ya leo itatoa majibuBon yai hawezi kuhama CHADEMA
Huyo amekomaa kisiasa na chadema iko moyoni. Nimemsikikiza Msigwa ameeeleza ukweli kuwa wanaoondoka ni wale waliokuwa wanachafua chama. Leo nimemwelewa.Kapewa madaraka hawezi kuhama huyo ni mchumia tumbo
Unawazungumziaje wale wanaoachia madaraka na kuhamia fisiem? Wao ni wachumia migongo au makalio?Kapewa madaraka hawezi kuhama huyo ni mchumia tumbo
Kwani huyu Polygon alishawahi kuwa mpinzani?Wakuu.
Siku ya leo aliyewahi kuwa ni Meya wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai ataongea na waandishi wa habari baada ya ukimya wa muda mrefu.
Press itaanza muda wowote kuanzia sasa.
Tutegemee nini? Ataendelea kushikilia "No Reforms No Election" au nae atatema bungo kama G55?
Kaa karibu na uzi huu kwa ajili ya updates
View attachment 3337872