Kadhi Mkuu 1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 23,114
- 29,434
Hana mboga ya kumwaga huyo mwenyekiti wa kanda ya pwani, cheo kilichowahi kushikiliwa na aliyewahi kuwa waziri mkuu kwa miaka 10 mfululizo Frederick Tluway Sumaye.Nadhani anataka kumwaga mboga!
Chadema na Majizi ya Ccm wote ni wachumia tumboUnawazungumziaje wale wanaoachia madaraka na kuhamia fisiem? Wao ni wachumia migongo au makalio?
Hapo umemjibu huyo kweli.Watanzania nani kawaloga? Yaani aende ofisi za CHADEMA kutangaza kuhama CHADEMA?
CHAWA wa MBOWEWakuu.
Siku ya leo aliyewahi kuwa ni Meya wa Ubungo, Boniface Jacob maarufu kama Boni Yai ataongea na waandishi wa habari baada ya ukimya wa muda mrefu.
Press itaanza muda wowote kuanzia sasa.
Tutegemee nini? Ataendelea kushikilia "No Reforms No Election" au nae atatema bungo kama G55?
Kaa karibu na uzi huu kwa ajili ya updates
Hakuna aliyetukanwa. Mbona wewe umemwita Erythrocyte "mpiga domo" ?Chadema wa JF mkiongozwa na mpiga domo wenu bwana Erythrocyte jiandaeni kumtukana Boni yai kama mnavyofanya Kwa wengine waliohama chama 😂
Mbona kuna waliohama chadema huku wamevaa t-shirt za kudai katiba mpya za chadema kwenye press zao?Watanzania nani kawaloga? Yaani aende ofisi za CHADEMA kutangaza kuhama CHADEMA?
Soma mada zake ndo utajua kwann namuita mpiga domo, au unaona n tusi hilo?Hakuna aliyetukanwa. Mbona wewe umemwita Erythrocyte "mpiga domo" ?
Akiwepo yeye mwenye msigwa au?Huyo amekomaa kisiasa na chadema iko moyoni. Nimemsikikiza Msigwa ameeeleza ukweli kuwa wanaoondoka ni wale waliokuwa wanachafua chama. Leo nimemwelewa.
Boss wao na aliyewapambania kupata nafasi hiyo hayupo jikoni, huoni naye boss amenuna?Unawazungumziaje wale wanaoachia madaraka na kuhamia fisiem? Wao ni wachumia migongo au makalio?
Hakuna kitu hapa kwanza sio potential kwenye siasaTuache siasa za kuganga njaa. Tuige kwa Boni, unashurikisi siasa na ujasirimali