Hakika TLP kumenoga,
Mhe Boniface Budodi atangaza nia ya kugombea Ubunge kupitia TLP,
Atuma salamu kwa Mhe Mashimba Ndaki,
Awaomba wana Maswa wampokee mtoto wao na mtumishi wao,
Awaomba wamuunge mkono Mhe Dk John Pombe Joseph Magufuli kuelekea Oct 2020,