Pre GE2025 Boniface Jackob Aanza kazi Kanda ya Pwani, Aongoza Kikao cha Kamati ya Utendaji

Pre GE2025 Boniface Jackob Aanza kazi Kanda ya Pwani, Aongoza Kikao cha Kamati ya Utendaji

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba, Mfungwa wa Kisiasa ambaye alichaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani akiwa jela, Baada ya Mapumziko mafupi, Hatimaye ameanza kazi Rasmi

Screenshot_2024-10-12-18-58-50-1.png
Screenshot_2024-10-12-18-59-00-1.png
Screenshot_2024-10-12-18-59-00-2.png

PIA SOMA
- Kuelekea 2025 - LGE2024 - Boniface Jacob achaguliwa kuwa Mwenyekiti wa CHADEMA Kanda ya Pwani
 
Hongera Viongozi wetu. Msife moyo Mungu atawababriki kwa jinsi mnavyojitoa kwenye Mazingira magumu.
 
Aje angombee Kibamba atapita bila kupingwa maana yule jamaa wa sisiemu haeleweki
 
Back
Top Bottom