SI KWELI Boniface Jacob aamua kujiweka pembeni ya Siasa za CHADEMA na kuhamia kwenye ufugaji wa kuku

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Hivi samia ukiacha wizi wa mali za Tanganyika,ana kazi gani nyingine inayoweza kumuingizia kipato?.
Hivi Lissu ukiacha kupiga domo kila siku hadi anamwaga ute mweupe mdomoni kama kinda la ndege ana shughuli gani za kumuingizia kipato?
Ni hatari sana kuwa na tumbo kubwa namna ile bila kuwa na shughuli inayoeleweka nje ya siasa.
 
Umeyanena mema sana, jitahidi sana upate neema ya kuyaishi.
 
Ipn siku utanisabishia ban wewe mwehu

Ni hasara sana kwa watu wa mbozi na familia kwa ujumla
R.I.P!
 
Wewe kifaduro Boni anafanya biashara hiyo kabla wewe hujajua kutumia smartphone, hiyo picha ya kitambo sana, na pia wanachama wa Chadema wana shughuli zao za kuwaingizia vipato tofauti na huko CCM mnakoishi kwa uchawa tu hadi wengine wanapitiliza na kuwa mashoga kabisa kwa kuzoea kuishi kimteremko.
 
Wewe tukiacha kazi yako ya kuimba mapambio humu jukwaa zima unazunguka wewe na thread zako “mama kafanya hiki,mama kafanya kile mara hakuna kama mama" una nini kingine cha kukuingizia kipato,?
 
Hivi mbona wewe huwa hutumii akili katika kujibu hoja?
 
Aibu yako hii wewe kapuku Lucas Mwashambwa .
 
Hivi Lissu ukiacha kupiga domo kila siku hadi anamwaga ute mweupe mdomoni kama kinda la ndege ana shughuli gani za kumuingizia kipato?
Ni hatari sana kuwa na tumbo kubwa namna ile bila kuwa na shughuli inayoeleweka nje ya siasa.
Unanivunja mbavu xangu ww dah
 
Wewe tukiacha kazi yako ya kuimba mapambio humu jukwaa zima unazunguka wewe na thread zako “mama kafanya hiki,mama kafanya kile mara hakuna kama mama" una nini kingine cha kukuingizia kipato,?
Mimi ni mkulima ndugu yangu mtanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…