SI KWELI Boniface Jacob aamua kujiweka pembeni ya Siasa za CHADEMA na kuhamia kwenye ufugaji wa kuku

Baada ya kuitathmini taarifa hii, tumebaini kuwa si ya kweli.
Boniyai hajaanza leo hizo shughuli kijana, ndio maana uzi wako unapingwa na wengi, hujistukii tu mzee??
Ungesoma andiko ungeelewa msingi wake. Kwani nani kasema kaanza leo? Mbona hata kwenye andiko langu nimeweka kila kitu wazi kabisa?
 
Safi sana! Siyo wale wa Lumumba wanaoishi kwa kufanya Uchawa! Hakuna mwanasiasa asiye na shughuli za kujiingizia kipato kwa ajili ya kujikimu!
Siasa ni jambo moja na kutafuta riziki ni jambo lingine.
Sema kwa kuwa alikuwa Mbowe team mlitarajia angejiunga na CCM lakini basi.
Ngoja niungane na watanzania wanaompongeza!
 
Machozi ya furaha hayajakububujika baada ya kuiona hiyo picha ya Boni yai?
 
Vipi unaweza niambia ni shughuli gani anayoifanya Lissu ya kumuingizia kipato cha kila siku?
 
Upo sawa kweli mkuu
 
Ww chawa ni mpumbavu sana. Huwa nasema kila mara kuwa katika chawa wapumbavu ww basi ndio kubwa lao. CHAWA.
 
Mbona kama unahubiri injili ya ushuhudiaji mtu kwa mtu kwa mtenda dhambi ili aokoke? Ina maana boni yuko utumwani misri anahitaji ukombozi kuingia kanaani?
 
Unajua kwann huna akili Lukas?

Kichwa cha habari unasema kaacha siasa za chadema kaamua kuhamia huku (kwa maana ya ufugaji wa kuku wa mayai) alafu ndani ya habari unasema kapiga picha kwenye matrei ya mayai (kwa maana ya huo ufugaji) biashara ambayo amekuwa akiifanya kwa muda mrefu.

Lukas tuliza wenge. Wewe bado kijana mdogo, Kuna future nje ya uchawa na Kuna maisha pia nje ya uchawa.

Kumbuka wewe unatumia jina lako kamili, utakuja kuwapa aibu watoto wako siku za mbeleni, mitandao huwa haifuti kumbukumbu kumbuka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…