Boniface Jacob akwama kortini akipinga kuipa polisi 'password' za simu zake

Boniface Jacob akwama kortini akipinga kuipa polisi 'password' za simu zake

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob maarufu Boni Yai amekwaa kisiki baada ya Mahakama Kuu kumkatalia maombi yake kupinga amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu, kulipa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni nywila (password) za simu zake.

Jacob, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani anakabiliwa na kesi ya jinai katika Mahakama ya Kisutu.

Soma pia: Serikali yaiomba Mahakama iruhusu Akaunti ya X na Vifaa vya 'Boni Yai' viingiliwe kwa upekuzi

Katika kesi hiyo namba 26918/2024, anakabiliwa na mashtaka mawili ya kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii, kinyume na kifungu cha 16 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao namba 14 ya mwaka 2015.

Kufuatia kesi hiyo, Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni (RCO), Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) David Msangi aliwasilisha maombi akiiomba Mahakama imuamuru mshtakiwa kutoa nywila za simu zake mbili za mkononi kwa ajili ya uchunguzi wa tuhuma hizo.

Screenshot 2024-12-03 152259.png
 
Ngoja tuone sheria hiyo ya kulazimisha kutoa password ipo katika mazingira gani, au tunaburuzwa kwa polisi na wapelelezi pamoja na ofisi za waendesha mashtaka wa serikali ya CCM kutumia vibaya mifumo wa haki jinai (criminal justice system) pamoja na sheria mbovu zilizotungwa na Bunge la chama kimoja chama dola tawala kongwe :

IN THE HIGH COURT OF THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
(DAR ES SALAAM SUB-REGISTRY)

AT PAR ES SALAAM

CRIMINAL REVISION NO31235/2024

CASE REF 202411022000031235

(Arising from Miscellaneous Criminal Application No. 29695/2024 and Criminal Case
no 26918 of 2024 at Court of Resident Magistrate’s of Dar es Salaam at Kisutu)

BONIFACE JACOB (EX-MAYOR UBUNGO)..........APPLICANT

Versus

REPUBLIC......................RESPONDENT

RULING
21st & 28th Nov 2024:
KIREKIANO, Anold J:

In Criminal Case no. 26918 of 2024, pending before the Court of Resident Magistrate of Dar es Salaam at Kisutu, the applicant herein faces a charge of publication of false information. The charge is preferred under section 32 (3) and (4), 36, and 38 of the Cyber Crimes Act, No. 14 of 2015.

While the proceedings are pending, the respondent made an ex parte application under section 32 (3) and (4), 36 and 38 of the Cyber Crimes Act, No. 14 of 2015, seeking a court order to accord the
respondent access to the applicant's cell phones to obtain data to assist law enforcement officers in the investigation during the pendency of
Criminal Case No. 26918 of 2024

page 01

...........
case, that is a criminal case. It is on the basis of this I agree with Mr Mwasipu that the two prayers emanated from two related matters, and consequently, the prayers are not opposed to each other. I see no merit on the second point of objection, this point is overruled.

On the first point, the respondent’ objection is posed under section
43 (2) of the Magistrate Court Act Cap 11, the same is to the effect that, revision shall not lie against any preliminary or interloc-utory decisions or order of the district court or a court of a resident Magistrate unless such decision or order has the effect of finally determining the
criminal charge or the suit
.
It is noted that this is a general provision. In criminal proceedings, such limitation finds its expression under section 372 (2) of the Criminal
Procedure Act Cap 20. This application at issue is premised under section 372 (1) Criminal Procedure Act Cap 20, The same provides;The High Court may call for and examine the record of
any criminal proceedings before any subordinate court
for the purpose of satisfying itself as to the correctness,
legality or propriety of any finding, sentence or
order recorded or passed and as to the regularity
of any proceedings of any subordinate court

Page 08

What is clear is that generally, according to section 43 (1) MCA and section 372 (2), CPA CAP 20 application for revision shall not lie against any preliminary or interlocutory decision or order of a subordinate court not having the effect of finality of the charge. The argument posed by Mr Mwasipu is that, under section 372 (1) there is still a leeway for this court to exercise it revisional powers. It is on this he premised the application and relies on decision in Peter Madeleka to
support his argument.
I have read the decision, and in that decision, the substance of the prayers in the chamber summons was, among other provisions, in pursuance of 372 (1) of the CPA. The same sought to call for and
examine the record of criminal proceedings in Criminal Case No. 269 of 2022 before the trial court at Kisutu for the purpose of satisfying itself as to the correctness, legality or propriety of any finding, order recorded or
passed and to the regularity of such proceedings. The CAT noted the limitation for revision under section 372 (2) and that the appellant in that application did not seek to revise any decision or order passed or made by the trial court. The court of appeal held on page 11 thus;In this case, the parliament in its wisdom saw it fit to
enact section 372 (1) to empower the High Court to call

Page 09

subordinate courts with a view to satisfying itself as to their correctness, propriety of any orders findings, sentences passed by such courts and the legality of any such proceedings.
From what can be gathered from the above position, the high court may call for and examine the record of proceedings from the subordinate courts. Two, where there is a decision made by a subordinate court that
has no effect of finality a limitation, applications for revision are limitated
under section 372 (2) CPA.
As much as I appreciate Mr Mwasipu’ thought in this section, considering that there was a decision made by the subordinate court, with respect, I
am unable to subscribe to his view that a party aggrieved by the
interlocutory decision, which is otherwise limited under section 372 (2) may apply to the court under section 372(1) CPA. I say so, having considered the prayers and reliefs sought in chamber summons. The same
are centred on a decision passed, thus limited under section 372 (2) CPA section 43 (2) MCA Cap 11. The first point of objection is merited and thus
sustained. Based on the foregoing I find that the second point of objection is merited. The application before me is incompetent

Page 10

The last issue is minor but woth noting. Looking at the respondent notice of objection, there was a prayer for dismissal of the application. The position of law is that an incompetent application can not be dismissed instead the proper order is to strike out the same. All said this application is incompetent and is accordingly struck out.

A J. KIREKIANO
JUDGE
28.11.2024
COURT

Ruling delivered in the presence of Mr Michael Lugina advocate for the appplicant and in presence of Mr Cutbert Mbilingi state attorney for the respondent

Page 11

Read the full judgment: source :

Boniface Jacob (ex-mayor Ubungo) vs Republic (Criminal Revision No. 31235 of 2024) [2024] TZHC 9797 (28 November 2024)

Boniface Jacob (ex-mayor Ubungo) vs Republic (Criminal Revision No. 31235 of 2024) [2024] TZHC 9797 (28 November 2024)​

Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob maarufu Boni Yai amekwaa kisiki baada ya Mahakama Kuu kumkatalia maombi yake kupinga amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu, kulipa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni nywila (password) za simu zake.

Jacob, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani anakabiliwa na kesi ya jinai katika Mahakama ya Kisutu.

Soma pia: Serikali yaiomba Mahakama iruhusu Akaunti ya X na Vifaa vya 'Boni Yai' viingiliwe kwa upekuzi

Katika kesi hiyo namba 26918/2024, anakabiliwa na mashtaka mawili ya kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii, kinyume na kifungu cha 16 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao namba 14 ya mwaka 2015.

Kufuatia kesi hiyo, Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni (RCO), Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) David Msangi aliwasilisha maombi akiiomba Mahakama imuamuru mshtakiwa kutoa nywila za simu zake mbili za mkononi kwa ajili ya uchunguzi wa tuhuma hizo.

View attachment 3168087
hivi hizi password huwa hatuwezi kusahau?mimi nabadilisha password hadi za email mara kwa mara, email zingine imebidi niweke majina ya watoto wangu. ikitokea amesahau watamlazimisha azikumbuke?
 
hivi hizi password huwa hatuwezi kusahau?mimi nabadilisha password hadi za email mara kwa mara, email zingine imebidi niweke majina ya watoto wangu. ikitokea amesahau watamlazimisha azikumbuke?
Mimi mwenyewe nashangaa...wenda watampiga na bunduki, mimi nabadilisha kila baada ya wiki na ikizidi hapo nasahau...hivyo Boni anaweza kusema amesahau password kwasababu hajazitumia simu zake kwa muda mrefu sana.

Ukankumbuka kipindi cha kupima watu mkojo, Lissu alipokataa watu waliofuata walisanuliwa na ndipo mbinu za Mashetani zikafa.
 
Alitakiwa aweke 2 factor authentication halafu namba ya recovery iwekwe ya mtu aliye nje ya nchi ambapo hawana jurisdiction sijui kisheria hapo ingekuwaje😏
 
wawaombe wenzao wa FBI waje wawasaidie kuifungua au wale wale Waisrael wataifungua tu. Serikali sasa iwekeze kwenye wataalam wa IT. The rules of Natural justice, haziruhusu mtu uweze ku-self incriminate popote pale duniani, sasa sijui hawa wanao taka hiyo password wanagota wapi?
 
Meya mstaafu wa Manispaa ya Kinondoni na Ubungo, Boniface Jacob maarufu Boni Yai amekwaa kisiki baada ya Mahakama Kuu kumkatalia maombi yake kupinga amri ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Dar es Salaam, Kisutu, kulipa Jeshi la Polisi Mkoa wa Kinondoni nywila (password) za simu zake.

Jacob, ambaye pia ni Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Pwani anakabiliwa na kesi ya jinai katika Mahakama ya Kisutu.

Soma pia: Serikali yaiomba Mahakama iruhusu Akaunti ya X na Vifaa vya 'Boni Yai' viingiliwe kwa upekuzi

Katika kesi hiyo namba 26918/2024, anakabiliwa na mashtaka mawili ya kuchapisha taarifa za uongo katika mitandao ya kijamii, kinyume na kifungu cha 16 cha Sheria ya Makosa ya Mtandao namba 14 ya mwaka 2015.

Kufuatia kesi hiyo, Mkuu wa Upelelezi Mkoa wa Kipolisi Kinondoni (RCO), Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) David Msangi aliwasilisha maombi akiiomba Mahakama imuamuru mshtakiwa kutoa nywila za simu zake mbili za mkononi kwa ajili ya uchunguzi wa tuhuma hizo.

View attachment 3168087
Vipi,ikiwa hazikumbuki itakuaje?
 
Hili Jina Boniyai linamaanisha nini?

Tajiri mfugaji mkubwa wa kuku wa mayai maelfu kwa maelfu, kama ilivyo kwa makada viongozi wengi wa CHADEMA lazima ujue kujiletea maendeleo ili uweze kutetea jinsi Maendeleo kwa Watu ikiwemo utajiri au kujiari ni muhimu.

Tofauti na makada wa chama dola kongwe wao kujiajiri hawafahamu na ndiyo maana hawawezi kuwa wabunifu wa sera za kuwezesha Maendeleo ya Watu, wao CCM wamekaazania maendeleo ya vitu kama flyovers, ndege hasara ATCL n.k
 
Back
Top Bottom