Uchaguzi 2020 Boniface Jacob anatarajia kuendeleza kampeni zake za Ubunge viwanja vya Ubungo Modern

Uchaguzi 2020 Boniface Jacob anatarajia kuendeleza kampeni zake za Ubunge viwanja vya Ubungo Modern

chuuma

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2015
Posts
363
Reaction score
557
Leo Tarehe 09/10/2020

Mheshimiwa Boniface Jacob* anatarajia kuendeleza Kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo katika Kata ya Ubungo.

Muda ni Kuanzia
Saa 8:00 Mchana, Mtaa wa* *Ubungo Kisiwani/Ubungo Maziwa - viwanja vya Ubungo Modern Kutakuwa na Mkutano wa hadhara*

Ubungo itajengwa na Wana Ubungo Wenyewe" BONIFACE JACOB

_NI KIJANA WETU, TUNAMFAHAMU, TUNAMUHITAJI NA TUNAMPENDA*_

_Nyote Mnakaribishwa ✌🏽_

Afisa Mawasiliano kwa Umma
Manji Kapama
+255 714 180 703
09/10/2020

IMG-20201009-WA0052.jpg
 
Back
Top Bottom