C chuuma JF-Expert Member Joined May 19, 2015 Posts 363 Reaction score 557 Oct 9, 2020 #1 Leo Tarehe 09/10/2020 Mheshimiwa Boniface Jacob* anatarajia kuendeleza Kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo katika Kata ya Ubungo. Muda ni Kuanzia Saa 8:00 Mchana, Mtaa wa* *Ubungo Kisiwani/Ubungo Maziwa - viwanja vya Ubungo Modern Kutakuwa na Mkutano wa hadhara* Ubungo itajengwa na Wana Ubungo Wenyewe" BONIFACE JACOB _NI KIJANA WETU, TUNAMFAHAMU, TUNAMUHITAJI NA TUNAMPENDA*_ _Nyote Mnakaribishwa ✌🏽_ Afisa Mawasiliano kwa Umma Manji Kapama +255 714 180 703 09/10/2020
Leo Tarehe 09/10/2020 Mheshimiwa Boniface Jacob* anatarajia kuendeleza Kampeni zake za Ubunge Jimbo la Ubungo katika Kata ya Ubungo. Muda ni Kuanzia Saa 8:00 Mchana, Mtaa wa* *Ubungo Kisiwani/Ubungo Maziwa - viwanja vya Ubungo Modern Kutakuwa na Mkutano wa hadhara* Ubungo itajengwa na Wana Ubungo Wenyewe" BONIFACE JACOB _NI KIJANA WETU, TUNAMFAHAMU, TUNAMUHITAJI NA TUNAMPENDA*_ _Nyote Mnakaribishwa ✌🏽_ Afisa Mawasiliano kwa Umma Manji Kapama +255 714 180 703 09/10/2020