LGE2024 Boniface Jacob awataka wanachama wa CHADEMA wasiwe na sifa za nzi wawe wakali kama nyuki, atangaza msako wa wale waliowaengua wagombea wao

LGE2024 Boniface Jacob awataka wanachama wa CHADEMA wasiwe na sifa za nzi wawe wakali kama nyuki, atangaza msako wa wale waliowaengua wagombea wao

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024

Cannabis

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
11,557
Reaction score
33,535

Boniface Jacob amewaasa wanachama wa CHADEMA kutokuwa na sifa kama za nzi ambao hata wakiwa wengi mtu akipiga tu mkono wanapoteana bali wawe kama nyuki ambao hata wakiwa watatu panakuwa hapakaliki.
 
Hakika
View attachment 3147341

Boniface Jacob amewaasa wanachama wa CHADEMA kutokuwa na sifa kama za nzi ambao hata wakiwa wengi mtu akipiga tu mkono wanapoteana bali wawe kama nyuki ambao hata wakiwa watatu panakuwa hapakaliki.
Mwisho wa kulalamika umefika, kwa nini wagombea ndio hao wanaosimamia uchaguzi? Iwe mwisho wa kushinda kwa mbinu chafu, shindaneni kwenye sanduku la kura si vinginevyo
 
View attachment 3147341

Boniface Jacob amewaasa wanachama wa CHADEMA kutokuwa na sifa kama za nzi ambao hata wakiwa wengi mtu akipiga tu mkono wanapoteana bali wawe kama nyuki ambao hata wakiwa watatu panakuwa hapakaliki.
Katika Qur'an, kuna aya zinazohimiza kufanya haki na uadilifu kwa watu wote, hata kwa wale ambao huenda huna upendo au uhusiano mzuri nao. Katika Surat Al-Ma'idah (5:8), Allah anasema:

"Enyi mlioamini! Kuweni wasimamizi wa uadilifu kwa ajili ya Allah, mkishuhudia kwa uadilifu. Wala chuki ya watu isikufanyeni kutotenda uadilifu. Tendeni uadilifu; huo ndio unaokurubisheni mno na uchamungu. Na mcheni Allah; hakika Allah ni Mwenye khabari za yote myatendayo."

Aya hii inasisitiza umuhimu wa kutenda haki na kuwa na uadilifu, hata kama kuna chuki au kutopendana. Haki ni lazima itendeke kwa kila mtu ili kufikia uchamungu na radhi za Allah.
 
Wasakwe tu,watu wanashindia kofia za SSH maofisini unategemea watende haki kweli,sasahivi ni kutafutana tu
 
Mimi niliwahi kuandika humu kuwa tuwateke watoto wa viongozi. Ili mambo yakae sawa.
 
FB_IMG_1574277425198.jpg
 
Back
Top Bottom