Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
sie tulidhani ni chama makini kumbe leo unatuambia walijaa walaji tu?boni yai hama huko hakukufai yamebaki matapeli tupu yanaharibia watu ulaji
Khaboni yai hama huko hakukufai yamebaki matapeli tupu yanaharibia watu ulaji
Unajua sababu ni kwa nini? Ni kwa sababu anakuwa tayari ameshashauriwa. Ni vigumu mno kumshauri mtu ambaye tayari ameshashauriwaMwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa hakuna mtu mgumu kumshauri kama anayekaribia kutapeliwa.
"Waswahili wenzagu wanasema
Hakuna mtu mgumu kumshauri kama anaye karibia kutapeliwa
Remember this tweet..!" - Boniface Jacob
View attachment 3334524
Soma Pre GE2025 - DSM - Ujumbe wa Mwenyekiti wa Kanda ya Pwani Boniface Jacob kwa G-55 na Wanachadema
Mwenyekiti wa Chadema kanda ya Pwani kupitia ukurasa wake wa X ameandika kuwa hakuna mtu mgumu kumshauri kama anayekaribia kutapeliwa.