Boniface Jacob mtoa taarifa za awali za mara kwa mara za watu kutekwa na miili kuokotwa, kuna namna hapa sio bure

Huyu jamaa yeye Kila siku anatoa update za mtu kutekwa na mtu kukutwa kafa na Kwa muonekano wake watu lazima tuwe na wasiwasi achunguzwe aisee hatuwezi kufuga magaidi
 

Attachments

  • IMG-20240909-WA0021.jpg
    28.4 KB · Views: 2
Huyu jamaa yeye Kila siku anatoa update za mtu kutekwa na mtu kukutwa kafa na Kwa muonekano wake watu lazima tuwe na wasiwasi achunguzwe aisee hatuwezi kufuga magaidi
CHADEMA kuweni makini.
Dola imetuma watu wake mitandaoni kutengeneza mazingira ya ninyi kufunguliwa kesi
Mnafanyiwa unyama na kuuawa
Mnafunguliwa kesi dhidi yenu


Msiseme sikuwatahadharisha
 
Jamaa alipata Mafunzo ya ujasusi Israel, kuna umuhimu wa kumtazama kwa ukaribu.
 
CCM MWENZANGU. HII HOJA AMBAYO ALITUPA MWENYEKITI WETU ILIKUWA YA KIPUMBAVU. YULE JAMAA ANATUCHUKULIA SISI SOTE VILAZA. KUWA ETI TUMSINGIZIE BONI YAI KUWA ANAHUSIKA NA CHADEMA. WEWE UMEIBEBA KAMA ILIVYO? ZA KUAMBIWA CHANGANYA NA ZA KWAKO DOGO.
Hakuna CCM anayeweza kuandika hivyo. Hapa umevurunda na kuji-expose🤔
 
CCM are the dumbest of crooks ever. Yani combination moja mbovu waliyonayo CCM ni ujuha uliochanganywa na ujangili.

CCM ni mithili ya mtoto mdokozi anaeibwia maziwa ya unga na kuacha alama kwenye mdomo wake na bado akawa na ujasiri wa kumsingizia mtu mwingine mbali ya yeye kuwa na ushahidi wote wa kufanya tukio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…