Boniface Jacob mtoa taarifa za awali za mara kwa mara za watu kutekwa na miili kuokotwa, kuna namna hapa sio bure

CHADEMA kuweni makini.
Dola imetuma watu wake mitandaoni kutengeneza mazingira ya ninyi kufunguliwa kesi
Mnafanyiwa unyama na kuuawa
Mnafunguliwa kesi dhidi yenu


Msiseme sikuwatahadharisha
Achunguzwe fastaa
 
Muonekano wake ukoje??
 
Huyu bwana kwani ni nani? Kila upoteaji na upatikanaji wa miili kabla ya police yeye ndio mtoa habari πŸ€”πŸ€”πŸ€”

View attachment 3091355
Boniface Jacob...????
Martin M.....?????

Kujitoa muhanga ni nini...?
Kujitoa muhanga ni kumuamini binadamu.

Mara nyingi watu huwaamini maadui zao bila kujua kuwa wapo na nyoka.
 
Ana pewa TU habari ni rahisi kumfikia DM zake. Na ni muwajibikaji ndio mana watu wanakuwa na moyo wa kumpenyezea habari wanatua zitafanyiwa kazi tu
Angalia viongozi wako wa serikali wote wamefunga DM zao ngumu kuwafikia.
Isipokuwa ni mama gwajima tu ndio tunayeweza pashana habari na tukaona uwajibikaji wake
 
Jibu lako rahisi sana kuna watu wanapata taarifa na hawana ujasiri wa kuzitoa, lakini kwa siku za hivi karibuni Bon pamoja na Martine Maranja wamejitwika huo msalaba. Miaka ya nyuma tetesi zote zilikuwa zinarushwa kwa Mange. Hivo siyo ajabu hata wewe kama una kifua na huogopi kufa bila kuzikwa anza hiyo issue.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…