Boniface Jacob: Rais Samia tunaomba Afande Mafwele anayetuhumiwa kumteka Sativa achunguzwe

CCM inawategemea saana hawa watesaji. Nia ni kuwanyamazisha watu kwa kuwatia uoga. Usitegemee MAMA au kiongozi yeyote mkubwa wa CCM kuchukuwa hatua za kupunguza kasi ya utekeja na uuaji kwa sababu hii ndiyo inawapa uhakika wa kushikilia dola. Ni pale tu watu watakapochoka na utekaji na uuaji na kuamua na liwalo liwe, ndipo tutakapochukuwa sheria mkononi na kuwawajibisha wahusika. Kutegemea demokrasia kuwandoa ni kupoteza muda kwa sababu ushindi wao katika kura siyo wa kidemokrasia.
 
Inasikitisha sana ,yaani hadi ushahidi wa ki-electronic unaonyesha Sativa likuwa Oyserbay na hadi aliye -engineer utekeaji ametajwa lakini hakuna kiilchofanyika mpaka sasa ,Mh Samia atambue si kwamba enzi za nyerere ,mwinyi,mkapa hayo mambo yalikuwa hayafanyiki ,yalikuwa yanafanyika ila waliofanyiwa ni wale watu kweli ambao walikuwa wanahatarisha usalama wa taifa na si hawa wa sasa wanaoikosoa serikali tu pale inapokosea.

Yaani mtu amepiga picha ufa kwenye majengo anatekwa wakati pale ananusuru wanafunzi wasije poromokewa na ghorofa ,mtu anasema maisha magumu anatekwa ,ni upuuzi na ndiyo maana kila wanachofanya wanahaibika ,wamempiga SATIVA lakin kapona na anawataja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…