Boniface jacob anasema:
CCM wametoa salamu za rambirambi kwa Thadei Ole Mushi siku moja kabla kifo chake.
Kwamba Thadei Ole Mushi kafariki tarehe 04 February 2024 lakini CCM salamu za rambirambi zinaonekana kutolewa tarehe 03 February 2024.
Muda huu kila jambo linapaswa kutiliwa mashaka, Je ni bahati mbaya.? au waliandaa mapema salamu zao za rambirambi wakijua atakufa hivi karibuni?
Ni kukaa kwa machale.