Boniface Jacob: Roho ya Thadei Ole Mushi yaiandama CCM

Duuuh ila hakuna jipya chini ya jua,,Yote haya hata Wakolonino waliyafanyagaa sisi si wajukuu zaoo😂😂😂🏃🏃🏃
 
Huyu Mushi SI ndio yule Kuna kipindi alitoafautiana sana mao I na viongozi wa ngazi za juu wa CCM Kisha baadae akapotea ghafra watu wakawa wanauliza kulikoni Ina maana amefariki kumbe?
 
Watu hawatakiwi kususia mikutano ya viongozi kwa sababu ndio njia pekee ya kutatua changamoto zao. Mf hii ya Makonda kuna watu wanasaidiwa na kupata haki zao


Sehemu pekee hatutakiwi kujua wala kuchekeana ni kwenye kupiga kura.



Huwa najiuliza kwa jinsi watu wengi kwenye mitandao ya kijamii asilimia kubwa huiponda CCM , sasa huwa wanapitaje kwa kupata kura , je wizi wa kura ndio kigezo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…