Boniface Jacob: Roho ya Thadei Ole Mushi yaiandama CCM

Mkuu ulikuwepo nchini 2019-2020? Kilichotokea ni uporaji wa kura kwani waliiba hadi wakasahau kuwa kwa kanuni za Mabunge ya Commonwealth kuna kamati 3 lazima ziongozwe na upinzani. Ndiyo hata wakapatikana hawa covid-19 ndani ya bunge. Haiwezekani chama kilichokuwa na wabunge zaidi ya 100 just over night kinakosa hata mbunge mmoja.
 
Typing error tu hiyo

..hata mimi nilifikiri ni typing error.

..sasa watu waungwana huomba radhi kwa makosa kama hayo hadharani.

..Ccm kushindwa kuomba radhi na badala yake kuwashutumu waliogundua makosa yao ni kukosa uungwana.
 
2020 ile ilikuwa ni uhaini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…