Mindyou
JF-Expert Member
- Sep 2, 2024
- 1,869
- 4,877
Wakuu,
Siku ya leo, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) Boniface Mwabukusi ameweka chapisho hili katika mtandao wa X kama sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara
"Chama cha siasa cha upinzani kisichoyatambua majira na nyakati, na kuendelea kufanya mambo na maamuzi yake kwa kiburi na ujivuni kitapoteza uungwaji mkono kwa umma na umma utatafuta tumaini mahala pengine. Watanzania sio wajinga. Heri ya siku ya uhuru wa Tanganyika, udumu muungano wetu! Serikali tatu itafaa zaidi.”