Ametoa onyo, hajaimaanishi haruhusiwi or anajiona jaji kutungi. Si yeye tu wako wengi ambao wametoa maonyo sanaHuyo jamaa ameanza ujuaji usio na maana..
TLS ni chama kama ilivyo MAT, na vingine kama vya manesi nk
Naona sasa anajigeuza Jaji Mutungi wa kufanya ushauri kwa vyama vya siasa...
Waliomoandisha watamshusha... Hawajui CDM vizuri bado.
Onyo kama nani na huyo mbweka ovyo..Ametoa onyo, hajaimaanishi haruhusiwi or anajiona jaji kutungi. Si yeye tu wako wengi ambao wametoa maonyo sana
Kuna shida gani na kauli yake?Wakuu,
Siku ya leo, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) Boniface Mwabukusi ameweka chapisho hili katika mtandao wa X kama sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara
"Chama cha siasa cha upinzani kisichoyatambua majira na nyakati, na kuendelea kufanya mambo na maamuzi yake kwa kiburi na ujivuni kitapoteza uungwaji mkono kwa umma na umma utatafuta tumaini mahala pengine. Watanzania sio wajinga. Heri ya siku ya uhuru wa Tanganyika, udumu muungano wetu! Serikali tatu itafaa zaidi.”
Kwanini hicho chama chako usigeuze nembo tu tuchukue kadi!Wakuu,
Siku ya leo, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) Boniface Mwabukusi ameweka chapisho hili katika mtandao wa X kama sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara
"Chama cha siasa cha upinzani kisichoyatambua majira na nyakati, na kuendelea kufanya mambo na maamuzi yake kwa kiburi na ujivuni kitapoteza uungwaji mkono kwa umma na umma utatafuta tumaini mahala pengine. Watanzania sio wajinga. Heri ya siku ya uhuru wa Tanganyika, udumu muungano wetu! Serikali tatu itafaa zaidi.”
Kuna muongozo kuwa onyo linatulowa na watu gani?Onyo kama nani na huyo mbweka ovyo..
Atulie ale hela za Misaada ya Kisheria...
Ccm mmejaa wapumbavu ndio maana uchaguzi hamuwezi na Kwa taarifa yenu mko hatua za mwisho.Kwanini hicho chama chako usigeuze nembo tu tuchukue kadi!
No he is always all over the places, awe na staha, siku zote kabla hajawa TLS alikuwa wapi?Kuna muongozo kuwa onyo linatulowa na watu gani?
Mtu yoyote anaweza toa, hamaanishi ana maana mbaya but kama alert kwa muhusika
Angalia ulivyo kosa akili mimi nasema na mwabukusi mwenye chama wewe chako ni kipi?!Ccm mmejaa wapumbavu ndio maana uchaguzi hamuwezi na Kwa taarifa yenu mko hatua za mwisho.
PumbaHuyo jamaa ameanza ujuaji usio na maana..
TLS ni chama kama ilivyo MAT, na vingine kama vya manesi nk
Naona sasa anajigeuza Jaji Mutungi wa kufanya ushauri kwa vyama vya siasa...
Waliomoandisha watamshusha... Hawajui CDM vizuri bado.
kuna member aliandika naye ni system tu kama alivyo hoseah japo anaonekana ni mpinzaniHuyo jamaa ameanza ujuaji usio na maana..
TLS ni chama kama ilivyo MAT, na vingine kama vya manesi nk
Naona sasa anajigeuza Jaji Mutungi wa kufanya ushauri kwa vyama vya siasa...
Waliomoandisha watamshusha... Hawajui CDM vizuri bado.
Kwani alichokiandika kina shida Gani? Next time usitumie tena uti wa mgongo kufikiri.Huyo jamaa ameanza ujuaji usio na maana..
TLS ni chama kama ilivyo MAT, na vingine kama vya manesi nk
Naona sasa anajigeuza Jaji Mutungi wa kufanya ushauri kwa vyama vya siasa...
Waliomoandisha watamshusha... Hawajui CDM vizuri bado.
Wakuu, Siku ya leo, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) Boniface Mwabukusi ameweka chapisho hili katika mtandao wa X kama sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara
"Chama cha siasa cha upinzani kisichoyatambua majira na nyakati, na kuendelea kufanya mambo na maamuzi yake kwa kiburi na ujivuni kitapoteza uungwaji mkono kwa umma na umma utatafuta tumaini mahala pengine. Watanzania sio wajinga. Heri ya siku ya uhuru wa Tanganyika, udumu muungano wetu! Serikali tatu itafaa zaidi.”
Mimi nilishaweka msimamo kuwa mabadiliko tutayafanya ndani ya CCM.Wakuu,
Siku ya leo, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) Boniface Mwabukusi ameweka chapisho hili katika mtandao wa X kama sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara
"Chama cha siasa cha upinzani kisichoyatambua majira na nyakati, na kuendelea kufanya mambo na maamuzi yake kwa kiburi na ujivuni kitapoteza uungwaji mkono kwa umma na umma utatafuta tumaini mahala pengine. Watanzania sio wajinga. Heri ya siku ya uhuru wa Tanganyika, udumu muungano wetu! Serikali tatu itafaa zaidi.”
Boniface Mwabukusi Kuna hata kesi Moja ,uliyo wahi kushinda mahakamani?Wakuu,
Siku ya leo, Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (Tanganyika Law Society - TLS) Boniface Mwabukusi ameweka chapisho hili katika mtandao wa X kama sehemu ya kuadhimisha miaka 63 ya uhuru wa Tanzania Bara
"Chama cha siasa cha upinzani kisichoyatambua majira na nyakati, na kuendelea kufanya mambo na maamuzi yake kwa kiburi na ujivuni kitapoteza uungwaji mkono kwa umma na umma utatafuta tumaini mahala pengine. Watanzania sio wajinga. Heri ya siku ya uhuru wa Tanganyika, udumu muungano wetu! Serikali tatu itafaa zaidi.”
Embu twende taratibu...Kwani alichokiandika kina shida Gani? Next time usitumie tena uti wa mgongo kufikiri.