Boniface Mwabukusi: Hongera Shaheen, Usipojisimamia Utasimamiwa.

Quinine

Platinum Member
Joined
Jul 26, 2010
Posts
25,848
Reaction score
63,306
Matukio ya Oktoba 29, 2025 yalikuwa mauaji ya kinyama, ya kifashisti na shambulio kubwa dhidi ya raia wengi wasio na hatia.

Huu ni ukweli ambao historia itaendelea kuubeba, na hakuna propaganda wala upotoshaji unaoweza kuufuta.

Kinachosikitisha zaidi ni kwamba badala ya kutafakari kwa kina, kukubali makosa yaliyotokea na kutafuta njia ya haki ya kuponya taifa, baadhi yetu tunaendelea kuzunguka kwenye propaganda za kijinga na simulizi za kujidanganya.

Tusipojirekebisha, tusipojiwajibisha, na tusipojenga misingi ya haki, ukweli na uwajibikaji, tutadhibitiwa na mazingira tuliyoyatengeneza wenyewe.

Tuwaunge Mkono Shaheen na Wenzake wote wenye mapenzi mema na Taifa hili na wanaotaka uwajibikaji.

BAK MWABUKUSI.
 
Mara oh
Waliouwawa walikuwa ni raiya wa kigeni. Lakini hatujaona mgeni yyte aliyesafirishwa
Mara oh walikuwa na silaha ! Hatujaona askari yyte aliyaepogwa smg. Badala yake ndugu zetu ndo walopogwa
Mara waliletewa pesa Toka nje, hatuambiwi ziliingiaje nchi?
Walikuwa wanafanya mafunzo mita 100 Toka kilipo kituo Cha polisi? Uongo wa jaji huu
 
Eti "raia wasiokuwa na hatia". Mamamamamamae zenu, kuwaibia watu, kuwavunjia watu Mali zao kwa sababu ya kingese eti siyo chadema, kujeruhi na kushamiria kuua watu (hususani polisi), kuhujumu miundombinu ya taifa na watu wake sio hatia hizo?!!!!

Taifa lilikuwa linaenda kuangamia bila jitihada za maana kufanyika. Nawapongeza wazalendo wote walioliokoa taifa letu.
 
Rungu litakapowashukia wauaji wa taifa msianze kulialia.
 
Unaongea kutoka moyoni haya? Au Umekalia kitu kizito?
 
1. Kwanza kwa uharibifu uliotokea na mipango ya kimapinduzi iliyopangwa, walikufa wachache! Ilitakiwa mbwa wote wapewe furaha yao.

2. Subirini 7/7
 
1. Kwanza kwa uharibifu uliotokea na mipango ya kimapinduzi iliyopangwa, walikufa wachache! Ilitakiwa mbwa wote wapewe furaha yao.

2. Subirini 7/7
Kila mtu atakufa hata akiwaua kwani yeye Samia atabaki kulinda dunia.
 
Mwisho wa ubaya ni aibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…