Boniface Mwabukusi: Si kila Kiongozi wa Dini ni Mtumishi wa Mungu

Safi sana. Na jamii yetu ipo kwenye mkanganyiko mkubwa kujua tofauti kati ya dini na Mungu. Dini ni man made system kumtafuta MUNGU. Mungu anamifumo yake ya kumtafuta mwanadamu. Utaona mtu kaishikilia dini yake kama kitu
cha maana kumbe ujinga tu
 
Kila wakili ni mwanasheria lakini sio kila.mwanasheria ni wakili

Nadhani hiwa ilo hivi

Mwabukusi ni mwanasheria na wakili
Hapepesi penye shida
 
Umesema uwongo bwashee,

unapenda sana kutukana uislam kireja reja,
Pole sana
 
Muwaoga saanaaaa, haya muishi milele duniani basi
 
Amepiga kwenye mshono wa homeboy wake
 
Kwa ni lazima kila mada atoe maoni?
 
Josephat Gwajima siyo mtumishi wa Mungu
 

kama huyo kobazi hapo eti shekhe! m nina
 
Kweli kabisa
Kama wale masheikh waliondega kwa geodavie wakadai wao masheikh wa mkoa 😄
Mule kulikuwa na janja wengi
Kuna kama watatu walikuwepo mule tena mmoja alishawahi kuwa serikali ya mtaa kino mjini
Ila kwa sasa ni marehemu
Wako wengine nawajua wanatumika kupangwa kufanya cheating, na wanalipwa
Ila mwisho wa siku mambo ya kiimani yakikuingia ngumu kutoka
Wajinga waliwaooo

Ova
 
Mwabukusi na Lisu hawa ndio kina Martin Luther king Jr wa kizazi chetu
Hongo wanayoikataa na matisho wanayopewa wangekuwa na mioyo mepesi wangesha nyanyua mikono

Mwabukusi ni mtu mwenye heshima mbele za Mungu kuliko viongozi wengi wa kidini.
Naungana na wewe!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…