Boniface Mwabukusi siyo Maarufu ila ana kibali, ogopa sana Mtu wa aina hii

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Kiukweli Boniface Mwabukusi amejulikana juzikati tu wakati wa mchakato wa Bandari.

Mwabukusi amewahi kugombea Ubunge huko kwa akina Prof Mark kupitia NCCR Mageuzi lakini hakunaga anayejua. Ila ghafla kwenye Uchaguzi wa TLS huyu Mwabukusi amejulikana nchi nzima kwa wakubwa na Wadogo.

Boniface Mwabukusi ana Kibali wanaopambana naye wawe waangalifu mno 😀

Sabato Njema.
Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
 
Aache harakati afanye kazi.
 
Harakati ni sehemu ya maisha ya binadamu.

Watu "modeli' ya kama huyo Mwabukusi ni ngumu sana kuweza kuwadhoofisha kisiasa kutokana na uanaharakati wao. Harakati ndio maisha yenyewe ya binadamu yoyote yule.
 
Kiukweli Boniface Mwabukusi amejulikana juzikati tu wakati wa mchakato wa Bandari.

Mwabukusi amewahi kugombea Ubunge huko kwa akina Prof Mark kupitia NCCR Mageuzi lakini hakunaga anayejua. Ila ghafla kwenye Uchaguzi wa TLS huyu Mwabukusi amejulikana nchi nzima kwa wakubwa na Wadogo.

Boniface Mwabukusi ana Kibali wanaopambana naye wawe waangalifu mno 😀

Sabato Njema.
Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Hili ni kweli kabisa kama ilivyo kwa Kafulila
 
Kibali kwa vichaa wenzake

USSR
 
Aache harakati afanye kazi.
Jitihada zinazorenga kuleta changes na transformation kwa manufafaa ya jamii huitwa harakati. Hizo harakati ndiyo unazitaka aziache? Halafu afanye nini?
 
Back
Top Bottom