johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Kiukweli Boniface Mwabukusi amejulikana juzikati tu wakati wa mchakato wa Bandari.
Mwabukusi amewahi kugombea Ubunge huko kwa akina Prof Mark kupitia NCCR Mageuzi lakini hakunaga anayejua. Ila ghafla kwenye Uchaguzi wa TLS huyu Mwabukusi amejulikana nchi nzima kwa wakubwa na Wadogo.
Boniface Mwabukusi ana Kibali wanaopambana naye wawe waangalifu mno π
Sabato Njema.
Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Harakati ni sehemu ya maisha ya binadamu.Aache harakati afanye kazi.
Hili ni kweli kabisa kama ilivyo kwa KafulilaKiukweli Boniface Mwabukusi amejulikana juzikati tu wakati wa mchakato wa Bandari.
Mwabukusi amewahi kugombea Ubunge huko kwa akina Prof Mark kupitia NCCR Mageuzi lakini hakunaga anayejua. Ila ghafla kwenye Uchaguzi wa TLS huyu Mwabukusi amejulikana nchi nzima kwa wakubwa na Wadogo.
Boniface Mwabukusi ana Kibali wanaopambana naye wawe waangalifu mno π
Sabato Njema.
Pia soma: Uchaguzi wa TLS 2024: Boniface Mwabukusi ashinda Urais, apata kura 1274
Jitihada zinazorenga kuleta changes na transformation kwa manufafaa ya jamii huitwa harakati. Hizo harakati ndiyo unazitaka aziache? Halafu afanye nini?Aache harakati afanye kazi.
Ukihamia ccm utapewa uDC, halafu baada ya miaka michache utatumbuliwa. Je, upo tayari kwa hongo hiyo?Joe nataka kuhamia CCM, mtanipa ngapi
Wanipe kianzio 100m kisha wanipe uDED, nikitumbuliwa nabaki na LSSE yanguUkihamis ccm utapewa uDC, halafu baada ya miaka michache utatumbuliwa. Je, upo tayari kwa hongo hiyo?