Nadhani hapa huusiki, pitaUsitupangie maisha aloo
Unapokuwa na common enemy, ni vema mkateta pembeni, unless wewe ni kibaraka umetumwa. Tutakuamua kwa matendo yako!wewe mzee mstaafu mwenzangu tukubali au tukatae CHADEMA inapaswa kukosolewa sio chumbani tu hata hadharani na hiyo ndio demokrasia ya ukweli.
Kustaafu ni tunu, si ajabu wewe usifike kustaafu ukaishia njiani!wewe mzee mstaafu
Jiepushe kupambana na Chadema na wengine ambao mnakokwenda ni kumoja! . Ungana na chadema na wengine katika mapambano. Kama una la kusema nao, waite pembeni mnongone na si kupayuka kwenye maria spaces maana unaipa CCM advantage! na unajenga negativity against you, na kwa mlengo huo hutatoboa.....Lengo lako ni zuri lakini the way forward ni false and falacy!
HILO LIMEKUANGUSHA! REKEBISHA , BADO KUNAJUDA WA KUTOSHA
nimekusoma na nimekuelewa sana katika muktadha huo.Unapokuwa na common enemy, ni vema mkateta pembeni, unless wewe ni kibaraka umetumwa. Tutakuamua kwa matendo yako!
Hilo halina ubishi mzee mwenzangu, kustaafu ni tunu iliyotukuka ambayo ni neema na majaliwa.Kustaafu ni tunu, si ajabu wewe usifike kustaafu ukaishia njiani!
Tena kustaafu ukala pensheni ya milioni 2 kwa mwezi hazina makato! miaka 10 sasa ina tick! kweli hiyo?Hilo halina ubishi mzee mwenzangu, kustaafu ni tunu iliyotukuka ambayo ni neema na majaliwa.
Jiepushe kupambana na Chadema na wengine ambao mnakokwenda ni kumoja! . Ungana na chadema na wengine katika mapambano. Kama una la kusema nao, waite pembeni mnongone na si kupayuka kwenye maria spaces maana unaipa CCM advantage! na unajenga negativity against you, na kwa mlengo huo hutatoboa.....Lengo lako ni zuri lakini the way forward ni false and falacy!
HILO LIMEKUANGUSHA! REKEBISHA , BADO KUNAJUDA WA KUTOSHA
lazima CDM kuwa makini sana. Slaa siyo mtu kabisa! angalia tamko lake hiliNafikiri kuna watu/kundi fulani walioko nyuma yake. Kundi hilo laweza kuwa linatoka upande wa chama tawala. Hasa lile linalojiona kuwa wao ni Wazalendo zaidi kuliko wengine. Malengo yao ni kuanzisha chama kipya au kama ni kujiunga na Chama kama CDM basi Uongozi wa juu uwe mwingine.
Kundi lile wanafahamu fika kwamba hawatapata nafasi huko kwao hasa tunakoelekea 2025. Wakitimkia CDM huko nako hawatawezi kuaminiwa kwani ndio waliokuwa maadui wakubwa kwa CDM.
Nshomile gani you can not reason! If you have a common enemy, people with senses will unite agains thtta common enemy! If you have any queries, call your partner and discuss them privately. if you can not do that, then you are doomed!Kwa hiyo mtu akiwasema CHADEMA ni kosa? Tatizo la chama hiki ni kujinasibu kupigania demokrasia wakat huo huo hakitaki ku exercise demokrasia
Sio kwa akili zetu wala nguvu zetu ni kwa neema na rehema zake Mungu.Tena kustaafu ukala pensheni ya milioni 2 kwa mwezi hazina makato! miaka 10 sasa ina tick! kweli hiyo?
Aaah chadema ipi unaiongelea!! Watawapokelewa na kuwapitisha nchi nzima wakiwasafisha. Chamsingi maokoto yawepo.Wakitimkia CDM huko nako hawatawezi kuaminiwa kwani ndio waliokuwa maadui wakubwa kwa CDM.
You could better criticize me without including those issues of nshomile and the like.Nshomile gani you can not reason! If you have a common enemy, people with senses will unite agains thtta common enemy! If you have any queries, call your partner and discuss them privately. if you can not do that, then you are doomed!
Sawa mkuu,umeeleweka.You could better criticize me without including those issues of nshomile and the like.
My point here ni kwamba Mwabukusi katoa maoni yake kwa kile anachoona hakiko sawa so hapaswi kuonekana msaliti sijui anatumwa na mengine mengi.
Kama kweli CHADEMA inapigania demokrasia bas itoe uhuru wa kutoa maoni kwa watu wake pasipo kujali kama hayo maoni yanawafurahisha viongozi au yanawaudhi. Kuendelea kuwaita wasaliti wale wanaowakosoa viongozi wa CHADEMA ni kudhihirisha kwamba hamna tofauti na CCM ambao wamekua wakiwaita wasaliti, wahaini na majina mengine mabaya wale wanaoisema vibaya serikali ya CCM.
Jiepushe kupambana na Chadema na wengine ambao mnakokwenda ni kumoja! . Ungana na chadema na wengine katika mapambano. Kama una la kusema nao, waite pembeni mnongone na si kupayuka kwenye maria spaces maana unaipa CCM advantage! na unajenga negativity against you, na kwa mlengo huo hutatoboa.....Lengo lako ni zuri lakini the way forward ni false and falacy!
HILO LIMEKUANGUSHA! REKEBISHA , BADO KUNA MUDA WA KUTOSHA TO FORGE AHEAD. UKOMBOZI HAUJI OVERNIGHT!