Sijapewa username bado
JF-Expert Member
- Aug 15, 2024
- 1,775
- 2,891
Uhamiaji walikuwa sahihi ku mu deport huyo MwangiKundi moja la wanaharakati jijini Nairobi wamemkaribisha kishujaa mwanaharakati Boniface Mwangi baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa Wilson akitokea Ukunda, baada ya kurejeshwa Kenya kwa barabara kutoka Dar es Salaam na maafisa wa polisi wa Tanzania
View attachment 3342762