Nakumbuka huyu jamaa, aliibuka na wimbo maarufu sana:- 'utanitambuaje,' single inayouza hadi leo katika soko la Nairobi.
baadae, akaibuka na 'njoo ufanyiwe maombi', nayo pia imetingisha kwelikweli. lakini tangu kipindi hiko hadi sasa, sijamsikia tena huyu jamaa. Au ndo kajichimbia Migombani kwenye Matoke?