Bonus: Orodha ya Full funded Scholarship za kumalizia mwaka

Hapo zimekosekana za urusi.
 
Namba 3 inatekelezekaje natamani sana kufanya hiyo
 
Hapa mchawi ni umri yaani kuanzia miaka 18-26 sisi wenye 30's hazituhusu hizi scholarships na wanahitaji degree za miaka minne na tangu umalize isizidi miaka sita.Ngumu sana hizi scholarships
 
Hello Mr/Ms
Salama Jaman !?
Natumaini ujumbe huu utakupata mkiwa wazima wa afya. Nimepata nafasi ya kuandika kwenu nikitumaini mna muda na nia ya kunisaidia katika ombi langu muhimu.

Mimi ni Samwel Assenga mwanafunzi kutoka Tanzania Nyumban niliye na shauku kubwa ya kuendeleza masomo yangu nje ya nchi. Hata hivyo, changamoto kubwa ninayokabiliana nayo ni ada ya masomo na gharama nyingine zinazohusiana na masomo nje ya nchi.

Kwa kuwa mna uwezo wa ku access nje ya nchi na mna uzoefu na taarifa zaidi kuhusu masuala haya, ningeomba msaada wenu katika kuniongoza au kunisaidia kupata ufadhili kamili wa masomo yaan (fully funded scholarship) katika nchi za nje. Ufadhili huu utakuwa msaada mkubwa kwangu kwani utaniwezesha kutimiza malengo yangu ya kielimu na hatimaye kuchangia kwa njia bora zaidi katika jamii yangu.

Ningefurahi sana kama mnaweza kunipa ushauri, maelekezo, au hata kunisaidia kwa njia yoyote iwezekanavyo katika kutafuta na kupata ufadhili huu. Msaada wenu utakuwa na thamani
kubwa sana kwangu na nitashukuru milele kwa ukarimu wenu
 
1. Commonwealth Scholarship 2024/2025:

2. Queen Elizabeth Commonwealth Scholarships 2024/2025:

Chinese Government Scholarship 2024/2025:
 
📢 BRIGHT AND GENIUS EDITORS ANNOUNCEMENT 📢

TUNAANDIKA NA KUHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO:

👉1. Business Proposal/Plan 💼,

👉2. Katiba za Vikundi 📜,

👉3. Cover Letter na CV/Resume 📄,

👉4. Website Content 🌐,

👉5. Barua za Wadhamini ✉️,

👉6. Study Plan na Statement of Purpose 📚,

👉7. Personal Statement 📝,

👉8. Mikataba 📑,

LAKINI PIA TUNAHARIRI DOCUMENTS ZIFUATAZO:
👉9. Thesis 🎓,

👉10. Research paper 📊,

👉11. Manuscript 📝,

👉12. Project, na dissertation 📑,

LAKINI PIA TUNATOA HUDUMA ZIFUATAZO:
👉13. Data analysis kwa kutumia softwares mbalimbali bila kusahau machine learning 📈,

👉14. Kufanya maombi ya scholarship nchi zote duniani 🌍,

👉15. Kuomba vibali vya kufanya biashara ya mafuta ⛽,

👉16. Kuomba vibali vya ujenzi wa vituo vya mafuta 🏭,

👉17. Kuandaa michoro ya vituo vya mafuta 🖌️,

👉18. Kutoa ushauri jinsi ya kuanzisha na kufanya biashara ya mafuta na biashara zingine 💡,

📚👉20. Tunauza Vitabu vya Kujifunza Ujuzi, Biashara Mbalimbali na Ujasiriamali! 📚

👉21. Kusajili; Majina ya Kampuni na majina ya Biashara BRELA. 📑

👉22. Kuomba TIN namba na leseni za Biashara. 📋

👉23. Kufanya Malipo Online Kupitia Visa Card, Mastercard, Airtel Money, Mpesa na Tigo Pesa. 💳


👉24. Kudesign LOGO, COVER na POSTERS

🌐 Kuwasiliana nasi kupitia
☎️ Whatsapp kwa namba: 0612607426 au
📧 Kupitia barua pepe bandg.editors@gmail.com.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…