Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
- Thread starter
-
- #61
Mbona nimekuuliza maswali ya msingi pale juu haujajihangaisha hata kulike.List of Master Scholarships in Canada (Fully Funded)https://lnkd.in/guW2ywi8
View attachment 2861316
Utakosaje pasiKukosa pasi ya kusafiti Kuna fanya watu tuna kosa fursa.
Punguza uvivu tafuta scholarship mkuu, kuapply ni bure ukiona haikufai kaa kimya waache wengine waapply. Tupo makini na kazi zetu hatubahatishi.Kuweni makini na hizi scholarship.
MFano...umepewa website ya wooster lkn chuo ni Peru indis
Swali lako tunalikumbuka tutakupatia majibu.Mbona nimekuuliza maswali ya msingi pale juu haujajihangaisha hata kulike.
Nijibu basi maswali yangu kwa faida ya wengi.
Naomba unijibu;Punguza uvivu tafuta scholarship mkuu, kuapply ni bure ukiona haikufai kaa kimya waache wengine waapply. Tupo makini na kazi zetu hatubahatishi.