Bonusbet Kwa Utaratibu Huu Hamtopata Wale wa Kujilipua

Bonusbet Kwa Utaratibu Huu Hamtopata Wale wa Kujilipua

Shark

JF-Expert Member
Joined
Jan 25, 2010
Posts
29,775
Reaction score
29,746
Za weekend Wakuu,

Kuna hii kampuni mpya ya kubet inaitwa Bonus bet. Nliona wamekuja vizur na offer zao za ku deposit plus odds unaweza kujiongezea kidogo.

Ila Sasa tabu yao Ukitaka ku deposit stake Maximum ni TZS 10,000,000/-
Screenshot_20230917-083400.jpg



Lakini ikitokea stake hiyo ukala labda odds 2 ukitaka ku withdrawal Kwa siku moja isizidi 600,000.
Screenshot_20230917-083405.jpg


Maana yake ni kua ukiweka hiyo 10mil ukafanikiwa labda ku win hizo odds 2 utalazimika kutumia siku 17 kuitoa yote .

Haijakaa poa hii, wabadilishe.
 
Mimi hao na gobet walinitumia msg za ofa ya 500 ukijiunga hata sikutaka kuhangaika nao.
 
Mimi hao na gobet walinitumia msg za ofa ya 500 ukijiunga hata sikutaka kuhangaika nao.
Na wanapata wapi numbers zetu? Nadhan itakua labda ni makampuni ya zamani wamebadili jina
 
Back
Top Bottom