Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Sep 17, 2023 #1 Za weekend Wakuu, Kuna hii kampuni mpya ya kubet inaitwa Bonus bet. Nliona wamekuja vizur na offer zao za ku deposit plus odds unaweza kujiongezea kidogo. Ila Sasa tabu yao Ukitaka ku deposit stake Maximum ni TZS 10,000,000/- Lakini ikitokea stake hiyo ukala labda odds 2 ukitaka ku withdrawal Kwa siku moja isizidi 600,000. Maana yake ni kua ukiweka hiyo 10mil ukafanikiwa labda ku win hizo odds 2 utalazimika kutumia siku 17 kuitoa yote . Haijakaa poa hii, wabadilishe.
Za weekend Wakuu, Kuna hii kampuni mpya ya kubet inaitwa Bonus bet. Nliona wamekuja vizur na offer zao za ku deposit plus odds unaweza kujiongezea kidogo. Ila Sasa tabu yao Ukitaka ku deposit stake Maximum ni TZS 10,000,000/- Lakini ikitokea stake hiyo ukala labda odds 2 ukitaka ku withdrawal Kwa siku moja isizidi 600,000. Maana yake ni kua ukiweka hiyo 10mil ukafanikiwa labda ku win hizo odds 2 utalazimika kutumia siku 17 kuitoa yote . Haijakaa poa hii, wabadilishe.
Shin Lim JF-Expert Member Joined Mar 27, 2012 Posts 7,837 Reaction score 14,198 Sep 17, 2023 #2 Mimi hao na gobet walinitumia msg za ofa ya 500 ukijiunga hata sikutaka kuhangaika nao.
Shark JF-Expert Member Joined Jan 25, 2010 Posts 29,775 Reaction score 29,746 Sep 17, 2023 Thread starter #3 Chen Hu said: Mimi hao na gobet walinitumia msg za ofa ya 500 ukijiunga hata sikutaka kuhangaika nao. Click to expand... Na wanapata wapi numbers zetu? Nadhan itakua labda ni makampuni ya zamani wamebadili jina
Chen Hu said: Mimi hao na gobet walinitumia msg za ofa ya 500 ukijiunga hata sikutaka kuhangaika nao. Click to expand... Na wanapata wapi numbers zetu? Nadhan itakua labda ni makampuni ya zamani wamebadili jina