Book covers & Movie..

mkuu una softcopy ya hiki kitabu!?.. Nakumbuka last time nilikisoma Library Dodoma (if ndicho chenyewe cause of title) n' i have been searching it for soo long!!...
Da'Vinci na zitto junior hiki kitabu kimemuelezea Mungu vizuri sana, hadi kisa cha yesu alivyozaliwa kupitia mlevi fulani aliyekuwa jirani na Yosefu aliyekuwa kalewa akavamia nyumba ya Marie akambaka ikabidi Yosef afiche siri ya ujauzito ule ili mkewe mtarajiwa asiweze kupigwa mawe mpaka kufa kupata nje ya ndoa (sheria za musa). Kimetumia sources nyingi sana za maandikio ya dini mbalimbali ukiacha Bible na Quran.
Yeyote atakayekipata please share with me.
 
Hahaaaa sijakisoma hiki yaani..
Leo ndo nasikia hii habario aisee muombe mwl.rct atuwekee.m
Kitabu kimemchora Mungu alivyo hicho kupitia maandiko ya dini mbalimbali yani unavyokisoma unakuwa kama unamuona alivyo aseh!.. kikaja kikachora Yesu maisha yake toka miaka 5 mpaka 30 ile ambayo kwenye bible haipo. Its thrill kukisoma aseh as long for fun sio kama kuamini kutakapo haribu imani yako!.
 
Hahaaaa sijakisoma hiki yaani..
Leo ndo nasikia hii habario aisee muombe mwl.rct atuwekee.m
We jamaa tatizo lako unadanganya watu kuwa umeishia Form Four ila ni msomi. Kiufupi nakukubali kwa michango yako hapa JF, mimi huwa sianzishi mada ili nifiche ujinga wangu, natamani kuanza ku post nyuzi.

Acha kutudanganya mkuu. Wengine sisi wenye GPA za 32 tumekushtukia tayari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Napenda kusoma vitabu vya hivi sana coz vyanipa changamoto ya kufikiria zaidi. Ila kama hauna imani thabiti hua si vizurii kabisa.
 
Hua nawaambia kila mtu atabeba msalaba wake mwenyewe!..
 
Hahaaaa sijakisoma hiki yaani..
Leo ndo nasikia hii habario aisee muombe mwl.rct atuwekee.m
Kitabu kimemchora Mungu alivyo hicho kupitia maandiko ya dini mbalimbali yani unavyokisoma unakuwa kama unamuona alivyo aseh!.. kikaja kikachora Yesu maisha yake toka miaka 5 mpaka 30
Habari ndugu Wick , Da'Vinci , zitto junior

Karen anavitabu takribani 9,

Nimeweka vitabu vyake hivi

1. Islam: A Short History (2000)
2. A History of God (1993)
3. The Spiral Staircase (2004)
4. The Battle for God: Fundamentalism in Judaism, Christianity and Islam (2000)
5. Buddha (2001)
6. A Short History of Myth (2005)
7. The Great Transformation: The Beginning of Our Religious Traditions (2006)
8. The Case for God (2009)
9. Twelve Steps to a Compassionate Life (2010)

Note:
- Kwa wanaoutumia simu: Fungua hivi vitabu, ZIPPED, kwa kutumia winrar: winraraAndroid
- Na fungua kitabu kwa kutumia EPUB reader yeyote kati ya hizi: ebookreaderJf
- Kwa kutumia PC soma kupitia hii app: pcEbookreader

Ombi kwa Uongozi wa JamiiForums
- Ongezeni extension ya EBOOKS kwenye supported files
- Hasa hii .epub
- Sababu vitabu vingi kwa sasa viko katika mfumo wa ebook, na ni vigumu ku_upload hadi uvifanyie zipping au vibadilishwe format na kuwa PDF

Pichani: Ujumbe unaojitokeza kwa ebooks zenye .epub extension

cc: JamiiForums , Maxence Melo
 

Attachments

"E="Mwl.RCT, post: 28078992, member: 158670"]

Habari ndugu Wick , Da'Vinci , zitto junior

Karen anavitabu takribani 9,

Nimeweka vitabu vyake hivi

1. Islam: A Short History (2000)
2. A History of God (1993)
3. The Spiral Staircase (2004)
4. The Battle for God: Fundamentalism in Judaism, Christianity and Islam (2000)
5. Buddha (2001)
6. A Short History of Myth (2005)
7. The Great Transformation: The Beginning of Our Religious Traditions (2006)
8. The Case for God (2009)
9. Twelve Steps to a Compassionate Life (2010)

[/QUOTE]
Shukrani mkuu kwa kutuwekea, me mpenzi sana wa kusoma mambo mbalimbali!.. Ngoja nivihamishie kwenye Google Drive yangu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…