Mzozo wa Mizozo
JF-Expert Member
- May 26, 2008
- 426
- 15
Habari za Mchana wajameni...
Naomba msaada wenu kwa mtu ambaye anaweza nipatia link ambayo ntaweza download kitabu hiki. Ni masuala ya kufa na kupona.
Nigel Slack - Operations Management [Fifth Edition]
Invisible Please Assist!
Salaam.
Mzozo wa Mizozo,
Nadhani umesahau hili ombi ulitakiwa kuliweka wapi. Wewe ni mwanachama na naamini unafahamu fika ni wapi maombi ya namna hii huenda na suluhu yake hupatikanaje.
Nasikitika msaada huo hata kama naweza kukupa siuweki eneo hili.
Nenda kwenye link hii uliza suala lakoKaka,
morning to you. hili jambo sikufanya makusudi ila tu ni kwamba wakati napost hii issue Jukwaa la Elimu nilishindwa kabisa kulikamata katika list ya majukwaa...
na kwa kuwa nilikuwa nahitaji huu msaada sikuwa na jinsi ikabidi niibandike habari hii hapa ilipo. Ni kweli nimekosea ngoja nirudie tena ili nipate kusaidiwa.
Ahsante Sana.