boom boom boom boom

Lishatoka matumizi 2
1/kuoa
2/kuonga
3/gambe kama 2livyo
4/shoping mr price
5/bata batan hebu mtoa uzi endelea number 6

6/kufanya chumba kuwa kama ikulu ndogo
7/full ma iPhone, macbook pro retina display, iPad, e.t.c
 
dah kama vip robo ya boom onga kwa wakuu wa department ili uende kiboc 2
 
naona unapoteza mda kubishana na vitoto waache waende then warud kitaa waone maisha wanazani wakitoka kula bum n moja kwa moja kwny ajira

tutakutana nao kitaa. Na stor za kukumbushia zitakuwa nyingi sana. Wakat huo jamaa na midevu yake bado linagombea mkate na vidogo vyake vya chekechea. Chezea maisha baada ya chuo ww.
 
Vp mwana kwani limekata?, kuna mtu hapo juu ameshakuambia kuna kulilipa pia, sas km wew unaskitika saiv mbona utasikitika sana..
 
DAH kaka nilizani unanichana kumbe unaongelea maisha halisi dah ktaa ni noumer.... ila tutatoka2
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…