Boom boom boom university of arusha

Ngongongare

Member
Joined
Jan 16, 2014
Posts
48
Reaction score
18
UNIVERSITY OF ARUSHA
Wizi wa laptop umeanza mfano Migombani Hostel
Wizi wa Gas cooker umeanza mfano karibu na Meru supermarket
Wizi wa ndizi umeshamiri mfano kariakoo na safari njema

HAYA YOTE NI KWA SABABU YA BOOM KUCHELEWESHWA WATU WANAISHI KWA PASI NDEFU KAMA LIVEPOOL HALI NI MBAYA
EWE SERIKALI SIKIVU SIKILIZA MAOMBI YETU
 
Nawaonea huruma wanaoenda kuoa kizazi iki cha University of Arusha Mungu aepushie mbali magonjwa jamani nilikuwa naona kama utani ule mstari wa R.O.M.A usemao.... "Makaaba wanaongezeka BOOM linapokata"
 
Nakumbuka mwaka 2006 tulilazimika kukodi costa tukatia timu heslb... poleni wazeiya...
 
LOAN MINISTER anadai HESLB wanadai after three weeks hivo vijana wafunge mikanda au KUDU
 
Poleni sana vijana wa arusha,natambua ugumu wa maisha mliyo nayo,ila serikali yetu ni sikivu sana na itatuma pesa muda si mrefu,vumilieni ni kipndi cha mpito tu,hata serikali nayo inapita katika hali ngumu,Mungu awajalie moyo wa subira km ss wenzenu wa makumira university
 
Mkuu next time uandike vzr, sijui umetumia fomular gani, contents za ujumbe zinaonesha mstari1
 

inauma saaaaana na watahamia hadi mafuta ya kupaka
 

pole wadogo zetu hii gvt ndo ilivyo siasa inamaliza hela zetu
 
ongeeni na Mr. Ndaturu awape majibu:dance:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…