poa nimekusoma mkweli, ila ajue hizi subira zina mwisho wake! Na kuna tetec kuwa wamechukua pesa za boom kwenda kuwalipa madaktari ili kupoza mgomo wao sasa kama wanataka hapo chuo pachimbike....., itafahamika!
Andamaneni wakuu, sisi maboya wa SAUT ndo kwanza tumeuchuna licha ya wiki 3 kupita tangu tumefungua chuo bila boom wala harufu yake. Nyie ndo mko jirani na Ikulu, andamaneni, sisi tulio wachache huku tutawasapoti!