Mpigamsuli
JF-Expert Member
- May 24, 2012
- 3,885
- 582
Dah hawa first year wanamatatizo sana pigeni shule
kwani shule inapigwa classmate?
Ndioo tena mpige sana shule
si tutaumia wenyewe
Nenda prepo
TEKU tumesaini leo!!loan officer wetu yuko poa sana.
Acha uongo
tunaanza kusign leo
kwani kikawaida ukisha sign kwa loan officer inachukua muda gani kuingiziwa boom,na je mnataarifiwa kuwa mmeshawekewa au ndo kujiongeza mwenyewe kuchek account?