Mupirocin
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 1,739
- 748
Nawapongeza sana udsm kwa kuwa source ya mabadiliko, ila nashangaa kwanini vyuo vingie vipo kimya? Muhi2, kcmc, bugando, saut, tumaini inamaana ninyi hela inatosha? Au rice cooker zinawadanganya. Amkeni serikali ipo shaked mkishirikiana hata zile % za bodi ya mikopo zitafutwa. Muhi2 acheni woga piganien haki.