J John Kunda New Member Joined Aug 9, 2012 Posts 1 Reaction score 0 Nov 25, 2012 #1 Tufanye nini kumaliza janga hili...Mkopo kwa elimu ya juu unakwisha kabla ya semista kufika katikati??? Mwenye mbinu bunifu? Nini zaidi kifanyike kumaliza janga hili?? Wenye mkopo tu ndo wajibu swala hili tafadhali.
Tufanye nini kumaliza janga hili...Mkopo kwa elimu ya juu unakwisha kabla ya semista kufika katikati??? Mwenye mbinu bunifu? Nini zaidi kifanyike kumaliza janga hili?? Wenye mkopo tu ndo wajibu swala hili tafadhali.