Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani wanavyuo wamegoma na kuandamana ili boom liongozwe?
Serikali yetu haifanyi mambo bila kushinikizwa kwanza.
Kijana achana na hizo story za Facebook kaa chini soma ukichoka karibu JF Critical thinker uchangamshe ubongo ukiona mambo hayako sawa(njaa kali) organize wenzako muanzishe 'Kunji' la faster faster kudai boom liongezwe iwe 15,000/= then serikali itaogopa na kuongeza hata kufikia 10,000/=

kijana boom haliongezwi kama nyongeza ya sukari dukani mpaka kuwe na sababu maalumu, so sit back Tsh.7,500/= inatosha na muache kudanganyana huo chuoni kwenu. Boom likiongezwa utajua tu.Jamani wanajf nisaidieni et ni kweli mwakani boom litapandishwa kutoka sh. 7500/= mpaka sh.9750/= maana huku chuoni kwe2 ndo habari ilyozagaa.najua ni swala nyeti lakini napenda kujua kuhusu hili