Boom kupandishwa kutoka sh.7500/= mpaka 9750/=

Achoki

Senior Member
Joined
Mar 27, 2013
Posts
151
Reaction score
60
Jamani wanajf nisaidieni et ni kweli mwakani boom litapandishwa kutoka sh. 7500/= mpaka sh.9750/= maana huku chuoni kwe2 ndo habari ilyozagaa.najua ni swala nyeti lakini napenda kujua kuhusu hili
 
Kwani wanavyuo wamegoma na kuandamana ili boom liongozwe?
Serikali yetu haifanyi mambo bila kushinikizwa kwanza.

Kijana achana na hizo story za Facebook kaa chini soma ukichoka karibu JF Critical thinker uchangamshe ubongo ukiona mambo hayako sawa(njaa kali) organize wenzako muanzishe 'Kunji' la faster faster kudai boom liongezwe iwe 15,000/= then serikali itaogopa na kuongeza hata kufikia 10,000/=
 

mwambie huyo,yan badala ya kusoma anawaza boom!
 
Hapana si kweli au ngoja aje NingaR akupe uhakika......
 
Last edited by a moderator:

Usidanganyike...
 
Hivi mavyuoni ndio mnayoyawaza na kuwazua? ningekua mwalimu wenu mngenikoma/
 
Jamani wanajf nisaidieni et ni kweli mwakani boom litapandishwa kutoka sh. 7500/= mpaka sh.9750/= maana huku chuoni kwe2 ndo habari ilyozagaa.najua ni swala nyeti lakini napenda kujua kuhusu hili
kijana boom haliongezwi kama nyongeza ya sukari dukani mpaka kuwe na sababu maalumu, so sit back Tsh.7,500/= inatosha na muache kudanganyana huo chuoni kwenu. Boom likiongezwa utajua tu.
 
me huku chuoni kwetu cjasikia hzo taarifa may b mana lisemwalo lipo au linakuja ngoja tufuatilie

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…