Inasikitisha sana kwa wanafunzi wa chuo cha sekomu mwaka wa 2&3 kukosa mkopo, karibia nusu ya wanafunzi hawapo kwenye list iliyotolewa na bodi ya mkopo na mpaka sasa hawajapata mhafaka,hivi ni chuo iki tu au na vyuo vingine?
kama wewe ni mwaka wapili au watatu na umekosa mkopo, basi utakua umeshapoteza sifa za kupewa mkopo.
Moja ya masharti uliyopewa na bodi ni kutofeli masomo yako. Kama ulifeli (ulistahili kudisco) na chuo KIKAKUKUMBATIA, basi bodi hatukutambui!
Wito kwangu wanafunzi wa mwaka wa kwanza. Mara mfikapo chuo, msome kwa bidii ili mfaulu masomo yenu. Bodi ya mikopo hatuta sitisha mkopo kwa mwanafunzi yoyote anaye endelea na masomo, kama hatapoteza sifa za kupewa mkopo.
Inasikitisha sana kwa wanafunzi wa chuo cha sekomu mwaka wa 2&3 kukosa mkopo, karibia nusu ya wanafunzi hawapo kwenye list iliyotolewa na bodi ya mkopo na mpaka sasa hawajapata mhafaka,hivi ni chuo iki tu au na vyuo vingine?
Kwaiyo kuna barch nyingine ?
mkuu pamoja ila why mwaka mbona mmewanyima mkopo madogo wengi sanaaaa
Mwaka wa pili na watatu majibu yao huchelewa kidogo hutoka kwa batch ili bodi imesema itawapa watu 2000 tu vyuo vyote