Boom kwa transfered students

Boom kwa transfered students

JAKana

Member
Joined
Sep 25, 2014
Posts
10
Reaction score
1
Habari wana jf napenda kuuliza kwamba boom kwa wale transfered students hususan faculty za education(science)lini linatoka mwenye ufaham atujuze
Akhsanten
 
Habari wana jf napenda kuuliza kwamba boom kwa wale transfered students hususan faculty za education(science)lini linatoka mwenye ufaham atujuze
Akhsanten

litatoka kipindi wenzenu watapokua wanapokea bumu la tatu, mwezi wa pili!!!
Sio education tu, bali ni kwa degree program zote!!!
Subira yavuta kheri+
 
Back
Top Bottom