Boom majanga

Arsenalist

Member
Joined
Oct 4, 2013
Posts
74
Reaction score
46
Jamani hivi inawezekana kweli bodi mpaka sasa hawajatoa pesa ya awamu ya kwanza kwa wale tulio batch ya tatu? Maana hapa tangu nije nimeishia kupeleka detail tu, wala sijasain pesa. Dah Must chuo changu
 
Dah sio nyie tu hata sie wa DIT batch ya mwisho hatujalamba hata senti ya bum la kwanza,vuta subra nadhan mzigo utaingia wote wa round ya kwanza na pili,we kopaaa tu
 
Dah sio nyie tu hata sie wa DIT batch ya mwisho hatujalamba hata senti ya bum la kwanza,vuta subra nadhan mzigo utaingia wote wa round ya kwanza na pili,we kopaaa tu

Jana pesa ya awam ya kwanza imeingia twasubiri ku sign ya pili na special facult siku si nyingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…