Boom semister ya pili SUA

Boom semister ya pili SUA

Lugano5

R I P
Joined
Jul 15, 2010
Posts
4,520
Reaction score
757
Jamani nimeulizwa sana ni nani mwenye taarifa boom semiester ya pili SUA linaingia lini?mwenye info tafadhali.
 
Jamani nimeulizwa sana ni nani mwenye taarifa boom semiester ya pili SUA linaingia lini?mwenye info tafadhali.

We MBWA hamjamaliza semester unataka boom lingine, ukirudi utapata, siunajua masuala ya kusaini au mmeacha?
 
mkuu heri yenu mnafunga huku mkiwa mme-sign so hela yenu mtapata pale ikiwa imebaki siku moja mfungue chuo au mkiwa mmeshafungua....!
 
We mbwa,kwa nin usiwaulize wenzio huko?
 
halafu we mbwa kwa mini hukuuliza wanafunZi mpaka uposti huku.
 
tuacheni matusi jf. ni mtandao wa kiakili matusi hayana nafasi humu
 
We #mbwa last 2 weeks ulipost ukajieleza kuwa wewe ni mwanafunzi wa MUHIMBILI na umepewa appointment ya kukutana na raisi ------ tarh 5,,leo unauliza boom la SUA,,,Mbwa ar u serious??whch iz whch???
 
Jamani nimeulizwa sana ni nani mwenye taarifa boom semiester ya pili SUA linaingia lini?mwenye info tafadhali.

We si ulisema uko mwaka wa mwisho muhimbili wewe? Ya SUA yanakugmhusu nini? Ushaonana na rais...kwanini usimuulize yeye?
 
We #mbwa last 2 weeks ulipost ukajieleza kuwa wewe ni mwanafunzi wa MUHIMBILI na umepewa appointment ya kukutana na raisi ------ tarh 5,,leo unauliza boom la SUA,,,Mbwa ar u serious??whch iz whch???

Amesahau jmn, yuko SuA
 
Back
Top Bottom