Jamani nimeulizwa sana ni nani mwenye taarifa boom semiester ya pili SUA linaingia lini?mwenye info tafadhali.
We MBWA hamjamaliza semester unataka boom lingine, ukirudi utapata, siunajua masuala ya kusaini au mmeacha?
Du!
ID zingine majanga!
We MBWA hamjamaliza semester unataka boom lingine, ukirudi utapata, siunajua masuala ya kusaini au mmeacha?
halafu we mbwa kwa mini hukuuliza wanafunZi mpaka uposti huku.
Jamani nimeulizwa sana ni nani mwenye taarifa boom semiester ya pili SUA linaingia lini?mwenye info tafadhali.
tulishasaini
halafu we mbwa kwa mini hukuuliza wanafunZi mpaka uposti huku.
kumbe upo sua mkuu?? Vp unapiga course ganihata humu kuna wanafunzi
Jamani nimeulizwa sana ni nani mwenye taarifa boom semiester ya pili SUA linaingia lini?mwenye info tafadhali.
We #mbwa last 2 weeks ulipost ukajieleza kuwa wewe ni mwanafunzi wa MUHIMBILI na umepewa appointment ya kukutana na raisi ------ tarh 5,,leo unauliza boom la SUA,,,Mbwa ar u serious??whch iz whch???