boom sua aje?

real pasta

Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
14
Reaction score
1
wakuu mnpe kampan hv boom kwa 1 yr hupata baada ya cku ngap chuo kkfungua coz naona sua 2naenda wk ya 3 especially 1 yr tangu 2fungue chuo bt nona kmya kama kusain wengne 2mesain kitaaaaaaaambo hv niaje wakuu?
 
kaka hawa wazinguaji na ndo maana wanafunzi huwa wanagoma, yan nshachoka sana.
 
dogo wiki hii jumanne wanatoa baada ya continuing wote kusaini but hali ikiendelea hivi kitanuka majeshi yameshajipanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…