ishu iko hivi: wakati unaomba chuo pia unaza fomu kwa ajiri ya kuopewa mkopo,kwenye hiyo form utakua umejaza inormation tofauti tofauti mpaka na acount numbber yako ya benki, kabla hata ujajua unakwenda chuo gani, kwenye chuo ambacho wata ku admit, watapelekeka majina yote pamoja na lako Board ya mikopo,wao wataanza kuku evaluate upate mkopo daraja gani, either A(100%), B(80%), C(60%), na kuendelea, kulingana na information ulizowapa kwenye ileeeeeeeeeeeeee fom uliyo jaza mwanzo, kama ukiwa successiful in either of categorie then utaanza kuonja ladha ya boom accordingly , so lazima ujaze form ya mkopo helsb,ndio upate mkopo kwa uelewa wangu. hope utakua umenielewa