boooom sua vp jaman!

tonyy

Member
Joined
May 4, 2014
Posts
27
Reaction score
1
wanajamvi hali nimbaya sana hasa viunga vyote vya main campus em wenyetarifa kamili watujuze iliwatu wawe namatumain ya kuishi.
 
Nchi hii mkiendelea kukaa kimya mtasaini mwezi wa sita!! Vijana Hiyo ni mikopo sio misaada!! TAMBUA HAKI YAKO ITAFUTE KWA NJIA SALAMA!!
 
Poleni, UDSM lina kama siku nne hivi lilishaingia.
 
daaa sema hapa weng watoto wamama.co watu wanathamin wapige mizinga na sihaki yan its pain guys
 
wanajamvi hali nimbaya sana hasa viunga vyote vya main campus em wenyetarifa kamili watujuze iliwatu wawe namatumain ya kuishi.

I think u at the wrong place at the wrong time
 
Huku SAUT Mwanza washasign nadhani siku yoyote watapewa kuanzia sasa nahisi zamu yenu pia imekaribia
 
We mzumbe mapema ndo wanaclick sahv benk send to all
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…