Boooom

Boooom

Haya tena maana nasikia ellectronic device zote mliuza, kanunueni mpya
 
Tutumieni pesa vizuri wana udsm wenzangu,ikumbukwe hakuna bum lingne mpaka october.
 
Kwa wanafunzi ni muda mzuri kwako kufikiria mausha yako kwa miaka 5-10 ijayo kwa kutafuta biashara au fursa itakayokupa kipato

Unaweza kudhani ukiajiriwa maisha yataebda kama unavyodhani kumbe lazima upange kuazia sasa
Kuna fursa ambayo kila mmoja anaweza kuitumia na imesaidia mamilion ya watazania kujikomboa na matatizo ya kiuchumi na ndiyo inaongoza kwa kuzalisha mamilionea wengi nchini hapa

Hata masuala ya bumu hayatakusumbua kama utakuwa tayari kuwekeza kidogo kwenye hii fursa
Ukihitaji indani zaid ni pm kwa maelezo
 
Mmmmh....mjini shulee!!pesa ya matumizi iyoo wala sio kuwekeza vijana..mjini hapa kila mtu anatafuta pa kula...

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Back
Top Bottom