Una tabia mbaya ujue...Watakuambia ni mbali na nyumbani na kuna ubaguzi.
Hawa hawahitaji vigezo kama vile vya Army ku-stay Uingereza kwa 6moths wakati applications zinachakatwa?
Tabia gani Jonah? Apply kazi hiyoUna tabia mbaya ujue...
Mie sipo kabisa kwenye hayo mamboTabia gani Jonah? Apply kazi hiyo
[emoji3][emoji3]Mie sipo kabisa kwenye hayo mambo
Kwanini huingii mara nyingi JF siku hizi?tatizo nini?kama tatizo ni bundle si unambie niwe nakutumia baba naniliu?
It's worth trying, wanachukua wahindi kutoka India wengine English mbaya sanaWatakuambia ni mbali na nyumbani na kuna ubaguzi.
Hawa hawahitaji vigezo kama vile vya Army ku-stay Uingereza kwa 6moths wakati applications zinachakatwa?
Oouh,It's worth trying, wanachukua wahindi kutoka India wengine English mbaya sana
Sasa akikuacha mimi si nipo...hata hivyo itakuwa vizuri maana utakuwa wa kwangu peke yangu[emoji3][emoji3]
Mke mwenzio anadai huduma mama haachi nipumue kaniambia mwakani anataka kwenda Dubai kama wewe... nachakarika nisije nikaachwa
Wewe upo wapi sasa kama haupo huko!
Sasa akikuacha mimi si nipo...hata hivyo itakuwa vizuri maana utakuwa wa kwangu peke yangu
Sipendi ku-share ujue
Mi nipo mbali kidooogo na huku,nitakwambia